MUIGIZAJI WA KIKE KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
1.LULU MICHAEL
2.JACKLINE WOLPER
3WASTARA JUMA
Hao waigizaji walifika tatu bora kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za watu wote wanafanya vizuri sana tu kwenye filamu na wanamashabiki wengi, lakini hebu tuweni wa kweli kwa hili, kuna muigizaji yeyote Tanzania anayeongoza kwa kupendwa na watu kama Wema? ukiangalia hata watu wanaomfollow kwenye mitandao ya kijamii ni wengi kuliko wasanii wengine, kutoka Wema anafwatia Lulu Michael, hata kwenye uuzaji wa habari Wema anauza kupita kiasi then LULU anafwatia, hata kwenye blogs habari ya Wema siku zote ndo yenye viewers wengi ilifuatiwa na habari ya Lulu Michael nae huwa anapendwa sana na wasomaji, NILITAMANI KWENYE HIZI TUZO NIONE JINA LA WEMA SEPETU HASA IKIZINGATIWA YEYE NDO ANAYEPENDWA SANA NA WATU NA PIA KIPENGELE KINASEMA MSANII AANAYEPENDWA, KINGINE MSANII WA KIKE ANAYEIGIZA VIZURI HAPO NISINGELALAMIKA NAJUA WAPO WAKINA RIYAMA WALE NI HATARI, LAKINI KIPENGELE KINASEMA MSANII ANAYEPENDWA NA WEMA NDO MSANII WA KIKE ANAYEPENDWA PITA PAGE YAKE YA INSTAGRAM CHEKI FOLLOWERS WAKE JIBU UTALIPATA, MUWEKE KWENYE BLOG UONE VIEWERS WATAKAVYOMIMINIKA KWENYE HABARI YAKE JIBU UTALIPATA, SIJAJUA WAMECHAGUA KIGEZO GANI LAKINI NILITAMANI SANA KWENYE HILI APEWE HAKI YAKE, Lulu amestahili kabisa na yeye kuwepo kwasababu sio kwamba nampenda hapana ila najua anavyouza na hata ukiangalia followers wake ni wengi,
1 comment:
Anapendwa sana tatito hamna kaz yake sokon. Tuzo zilibase kwenye kazi. Wema amelewa umaarufu hatoi filam mimi km shabik ananiboa na akiendelea hv tutamsahau. Na pia akue umri waenda anatakiwa ajitume now.
Post a Comment