Friday, June 27, 2014

WAKATI DIAMOND MCHUMBA WA WEMA ANAELEKEA B.E.T AWARDS, HILI JAMBO ANATAKIWA ALIREKEBISHE.

Bwana Chibu mdogo wangu wewe ni mkaree halina ubishi, unapendeza na kila aina ya nguo haina ubishi, mpaka ukivaa vile visketi vinakutoa pia hakuna ubishi, kwenye ma red carpet unanoga hakuna ubishi, UBISHI unakuja kwenye hili pozi la KUINAMA, Chibu kwenye red carpet ya mtv kila picha umeinama kidogo, yani mpaka ukajisahau kabisa kwamba unatakiwa unyooke, haya tushuke chini tumuone Chibu wetu
             Chibu na Wema , hapo kama kawa Chibu kapiga pozi la kuinama



 CHIBU WAKIWA NA BABUTALE, KANYUTI TENA MPAKA AMETAKA KUMFIKIA BABUTALE



TENA CHIBU KAINAMA, WAKO SAWA UREFU NA MISS TANZANIA LAKINI HAPA CHIBU MPAKA KAONEKANA MFUPI

                            TENA

WAMEKAA LAKINI KAMA  CHIBU KAINAMA
Chibu BET hakuna kuinama Joan River povu la mdomo litamtoka balaa, na Wema ukienda hakuna kuvaa nguo nyeusi,


NAKUTAKIA SAFARI NJEMA MDOGO WANGU, MUNGU AKUINUE, KAMA LUPITA NYONG'O KAWEZA KUSIKIKA NA KATOKA EAST AFRICA HATA WEWE UNAWEZA PIA, TUNAKUOMBEA SANA SANA, MPKA HAPO ULIPOFIKA UKO JUU TAYARI, KUMBUKA HATA PSQUARE HAWAJAPATA HIYO NAFASI WALA DBANJ HAJAPATA, HONGERA SANA NA TUKO NYUMA YAKO DIAMOND WETU NA TUNAANGALIA TUZO KWA SABABU YAKO TU. ni hayo tu wapenzi

No comments: