Kwa mnaopenda habari za waigizaji wa kihindi, huyo hapo kijana ni motto wa Amitah Batchan anayeitwa Abhishek Batchan yuko na mkewe ambaye alikua miss world mwaka 94 na pia ni muigizaji mkubwa anaitwa Aishwarya Batchan, inasemekana wawili hao wako kwenye mapumziko huko London baada ya u busy mwingi wa kazi nchini mwao India.
No comments:
Post a Comment