Monday, June 16, 2014

WEMA SEPETU AKANUSHA MADAI YA KWAMBA YEYE NI MJAUZITO.








Wema Sepetu amekanusha vikali kwamba hana ujauzito na anashangaa jinsi watu wanavyomzushia, mh jamani hebu angalia hiyo picha hapo juu ya hawa Kanye na Kim wa bongo, yani kila mtu yuko excited na mwenzake, kweli mahaba yamekolea kwa hii mutu mbili.

No comments: