Wednesday, June 25, 2014

DIAMOND PLATINUMZ AMFUNIKA DAVIDO TENA KWENYE HII.






Jamani yani sijui ndo kupenda vya kwetu au nampendelea, to be honest sehemu ya DIAMOND na Chorus ndo vilivyoninoga, walahi Diamond mdogo wangu mbona unakimbiza hivi? si utamtia presha Davido?

No comments: