Nimezipenda tu hizo picha, ya juu ni waigizaji wa Bongo Movies, ambapo yupo Rose Ndauka, handsome Slim, Richie na Batuli, na hii ya chini kama mnavyowaona Angelina, Brad Pit na wengine hao. Inapendeza waigizaji wanaofanya vizuri wanapokaa pamoja huku wakiwa wamevaa kiheshima na wamependeza pia
No comments:
Post a Comment