MTOTO WA IRINE UWOYA KRISH
Irine ni muigizaji mwenye mvuto wa hasa, na pia anamtoto mmoja aliyezaa na mumewe Ndikumana, wakati Irine amejifungua alimua kumpa mwanae jina la KRISH ambapo alipohojiwa alisema hilo jina limetokana na muigizaji wa kihindi ambae ni handsome sana aliyekua anaitwa KRISH kwenye movie. Na huyo hapo chini sasa ndo KRISH original, ila jina la Krish lilikua ni la kwenye movie tu na hiyo movie pia inaitwa KRISH na ni movie kali iliyompatia umaarufu sana huyu jamaa.
HRITHIK ROSHAN A.K.A KRISH
Jina halisi la huyu jamaa ni HRITHIK ROSHAN ni muigizaji machachari sana huko India na ameshacheza movie nyingi sana movie yake ninayoipenda sana inaitwa KATES ambayo kacheza na yule dada aliyecheza kama RUBI kwenye tamthilia ya Mexico ya RUBI iliyokuwaga inaonyesheshwa KAPITAL TV.
HRITHIK ROSHAN AU KRISH
Mh kwa kweli majina yanaumba, katoto ka Irine kazuri balaa kumbe kwasababu kamepewa jina la mtu ambaye ni bongeee la handsome. na mi wangu ntamuita WILLIAM LEAVY siku nikizaa si mnamjua yule juan migel wa kwenye tamthilia ya marichui, yani yule staring mwenyewe, ha ha ha natania.
No comments:
Post a Comment