Tuesday, June 24, 2014

MANENO KUTOKA KWA SHABIKI WA WEMA SEPETU,






Naomba nkuulize. Hv huwa unapata muda wa kuongea na wema? Pls naomba mshauri sana akazane kucheza filam. Ikibid kwa jina la chibu na km aliweza kumleta omotola angeweza kutufanyia mabadiliko. Mwambie asikae. Filam zake zinapendwa sana. Pls tell her. We love her. Tunataka kuona filam zake



HIYO MSG HAPO JUU NI KUTOKA KWA SHABIKI MZURI SANA WA WEMA, NIMEKUA NIKIPOKEA MSG NYINGI ZINAZOULIZA KWANINI WEMA HAWAMUONI KWENYE MOVIE, WEMA MASHABIKI ZAKO WANAKUPENDA ZAIDI WAKIKUONA KWENYE MOVIE KULIKO KWENYE MA INSTAGRAM, PLEESE DO SOMETHING, MI MWENYEWE UNANITESA MOVIE KAMA HUJAIGIZA WEWE HUWA SIPENDI KABISA KUIANGALIA, NAPENDA JINSI UNAVYOKUWAGA REAL MBELE YA CAMERA. TUWEKEE MAMOVIE MPENZI WATU TUBURUDIKE.

No comments: