tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Thursday, June 12, 2014
WEMA SEPETU ALICHOKIONGEA LEO
Leo asubuhi Wema kupitia Instagram page yake amewaambia wale mashabiki wake waliokua wakicomment kwa wingi kuhusu kumtaka yeye na muigizaji mwenzake Kajala masanja kurudisha urafiki wao, wema alitiririka kwamba, YEYE HANA TATIZO NA HUYO WANAOMSEMA, NA PIA WAMESHAMALIZA TOFAUTI ZAO SIKU NYINGI NA HIVI SASA HANA KINYONGO KABISA NA MTU NA HUWA HANA KAWAIDA YA KUA NA KINYONGO NA MTU YEYOTE, AMESEMA KWAMBA HATA KAMA HAWAAMBATANI NAYE KAMA ZAMANI HIYO HAIMAANISHI BADO WANAUGOMVI, UGOMVI ULISHAISHA.
yangu mimi, ila nimesoma Wema aliyoandika lakini kaelezea yote ila hajamtaja jina Kajala, lakini kwa kua sisi kama mashabiki tunawafuatilia kwa ukaribu tukajua anayezungumziwa ni Kajala, mi nimeona bado kuna kautata kidogo, kwanini Wema kashindwa kumtaja Kajala jina? kwasababu kwa ninavyojua mimi kama mmemaliza ugomvi unakua huru kumtaja huyo mtu jina, lakini Wema alishindwa kabisa kwa wasiojua huu ugomvi naimani wasingeelewa Wema anamzungumzia nani,
ILA MI NACHOSEMA NI KWAMBA, WEMA MARAFIKI PEKEE UNAOWEZA KUA NAO NI WALE AMBAO WAKO NJE YA FANI YAKO, unajua tuchukulie mfano hivi sasa uko karibu na Aunt Ezekiel, Aunt na yeye ni muigizaji kama wewe, na yeye anapenda kushine, kua front page kila anapoamka asubuhi, kuwa na mashabiki wengi, KWA JINSI WEMA WEWE UNAVYOPENDWA HAPA TANZANIA, KWA JINSI UNAVYONG'AA KILA UENDAPO, KWA JINSI ULIVYO NA MCHUMBA ALIYEJUU KIMZIKI TANZANIA NZIMA, KWA JINSI MNAVYOENDELEA KUA MAARUFU WEWE NA MCHUMBA WAKO HAPA AFRICA, JE AUNT ANAWEZA KUVUMILIA HAYO WAKATI AT THE SAME TIME NA YEYE NI KAMA WEWE KIKAZI? ANAWEZA KUKUBALI CAMERA ZOTE ZIWE KWAKO HALAFU KWAKE HAKUNA WAKATI NA YEYE NI STAR KAMA WEWE? KWA BINADAMU YEYOTE NI NGUMU SANA hata waliozaliwa tumbo moja tu wanashindwa, tunawaona wakina Kardashians kila siku wanaoneana wivu ila kwa vile ni ndugu mwisho wa siku wanaombeana heri, sasa kwa mtu asiye ndugu yako ni rafiki tu wa ukubwani je anaweza kufurahia attention yote uipate wewe wakati na yeye ni star pia? star yeyote anapenda attention hyo ndo inayomfanya azidi kujulikana, manake Aunt mpaka anasemwa kwa mume wake haendi ila yuko busy kukusindikiza wewe kila mahali, yani amekua kama personal assistance wko kwasababu popote mtakapokua watu wanasahau kama na yeye ni star all eyes zinakua on u je unahisi anaweza kuvumilia hiyo hali? je aunt anafurahi kukusindikiza wewe tu kwenye mared carpet huko South halafu mwisho wasku anakaa pembeni wewe na mchumba wako CAMERA zote ziko kwenu, kwani yeye hatamani camera zote ziwe kwake? mh Wema be carefull, WEWE SIO MGOMVI NAJUA KILA SIKU MARAFIKI WANAGOMBANA NA WEWE KWASABABU WANATAMANI KUA KAMA WEWE ILA WANASHINDWA, cha msingi sikiliza ushauri wa mama yako, rafiki zako wa kweli ni mama yako na dada zako, WALE HATA WAKIONA CAMERA ZA BBC NA CNN ZIKO KWAKO WATAKUOMBEA HERI NA KAMWE HATATAMANI KUA WEWE. Wema mi nishabiki wako sana na nakutakia mema, ajili PERSONAL ASSISTANCE AWE ANAAMBATANA NA WEWE KILA MAHALI KAMA WANAVYOFANYA MASTAR WENGINE LAKINI RAFIKI AMBAYE NA YEYE NI MUIGIZAJI KAMA WEWE AWE ANAACHA SHUGHULI ZAKE ANAAMBATANA NA WEWE ATACHOKA NA ATAANZA KUKUSEMA, WAANGALIE WAKINA OMOTOLA KAMA WANAAMBATANA NA MARAFIKI HOVYO, MUANGALIE RIHANA ANAAMBATANA NA RAFIKI YAKE AMBAYE SIO MAARUFU KABISA, LAKINI MARAFIKI ZAKE AMBAO NI WANAMZIKI WENZIE WAKINA KATE PERRY ANAWATUPA KULE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment