Thursday, June 12, 2014

MASTAR WA HOLLYWOOD WANAOTARAJIWA KUITWA MAMA MWAKA HUU.

                   1. MILA KUNIS NA MCHUMBA WAKE ASTON KUTCHER.
Kwa wasio mfahamu huyo mwanamke Mila Kunis yeye alicheza movie ya FRIEND WITH BENEFITS NA JUSTIN TIMBERLAKE, pia mchumba wake Aston yeye aliwahi kua na mahusiano na mke wa Bruce Wills anayeitwa Demi Moore wote hao ni waigizaji,

KERRY WASHINGTON
Huyu mwanadada hapo juu yeye pia kacheza movie nyingi na pia yupo kwenye movie ya MR AND MRS SMITH ile ya Brad na Angelina.

SCARLET JOHANSON


NA HUYO HAPO JUU NI MUIGIZAJI DREW BARRYMORE,

HAO NDO WA MAMA VIJACHO WA HOLLYWOOD KWA HUU MWAKA.

No comments: