Hivi kuna mschana yeyote wa bongo movies anayempita huyu kwa kukaa uchi.
Anaitwa Frola Lyimo, sijui mchaga wa wapi aisee maana anatuaibisha wachaga kupita kiasi.
Yani ndani ya kichwa chake hapo anajiona kama RIHANA vileeee.
Hapa kama KIM KARDASHIAN VILE.
Hapa madai yake she goes topless, uwiiiiii jamani
Ila huyu kichwani haziko sawa ndo maana hata magazeti yamempuuza.
ITS ALL ABOUT FLORA LYIMO HOW TO LOOK SEXY AT HOME''
hayo hapo juu ndo maneno yake eti anawafundisha wanawake ku luk sexy at home. Frola, hivi unandugu na wazazi kweli? hivi unamiaka mingapi vile? yani hapa kiboko yako ni WENDY WILLIAM NA BIBI JOAN LIVER .
Nilifikiri Bongo Movies pekee ndo wavaa utupu maana kila leo wanasemwa wao, kumbe kuna kiboko yao, yani ushauri wa bure, Mbuta nanga, angalau fanya diet, paka mafuta mazuri ngozi iwe nzuri, halafu ukijiheshimu ndo utapata madili makubwa makubwa, hapo ulipo kila mtu wa maana anaogopa kua na ushoga na wewe kutoka na mambo yako sasa ukijiheshimu na hivi unajua mambo ya ujasiriamali lazima ufike mbali, ni hayo tuuu
No comments:
Post a Comment