Thursday, June 19, 2014

KUHUSU BONGO MOVIES NA KASHFA YA USHOGA, INGIA USOME




MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amekataa katakata kuwataja wanachama wanaodaiwa ni mashoga ndani ya klabu hiyo ya jijini Dar

Akizungumza na Amani juzikati jijini Dar baada ya kuombwa kuwataja wadaiwa hao, Steve alisema hashindwi kuyaanika majina yao, bali uongozi wake kwenye chama hicho si kuingilia mambo binafsi bali kuunganisha umoja na mshikamano kwa ajili ya tasnia ya filamu za Bongo.
“Hilo suala kila mtu ananiachia mimi nilizungumzie kwa kukanusha au kuweka majina hadharani ya wanaodaiwa ni mashoga. Hadi namaliza uongozi wangu sitafan
ya hivyo,” alisema Steve.
Siku za hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari viliwahi kuripoti suala la kuwepo kwa mastaa mashoga kwenye klabu hiyo yenye nguvu ya ushawishi wa fedha mjini


HAYA MANENO YAMETOKA KWENYE GAZETI,,,,,,,,,,,,,,, HIVI KUMBE KUNA MASHOGA BONGO MOVIES? MAANA MI NILIKUA SIJUI? KILA NIKIWAANGALIA KAKA ZANGU WA BONGO MOVIES NAWAONA WOTE MALIJALI,

No comments: