tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Monday, June 23, 2014
MUIGIZAJI THEA WACHAMBANA NA VANITHA
HAIJAKAA poa! Staa wa sinema za Kibongo, salome Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ na rafiki yake wa kitambo ambaye pia ni mwigizaji, Vanitha Omary wamepishana kauli na kuchambana vilivyo msibani kwa komediani mkongwe, Said Ngamba ‘Mzee Small’
Ishu hiyo iliibuka mara baada ya Thea kumtuhumu Vanitha kumuita mume wake mnafiki kwa kitendo cha kulikacha Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) na kujiunga na Bongo Movie Unity ndipo ‘kikanuka’.
Baada ya ugomvi kutulia, mwanahabari wetu aliwatafuta wawili hao, kila mmoja akaongea lake.
Vanitha: “Nimeumizwa na Thea, nahisi alikuwa na mambo mengine ndiyo ameamua kunitungia...sidhani kama nitakuwa naye karibu tena.”
Thea: “Mimi sina muda wa kugombana na Vanitha kwani siyo saizi yangu nitagombana na mastaa wenzangu ( HIYO KAULI KAMA THEA KAITOA KWELI BASI THEA NI HIVI , UKIMUONA MTU LEO SIO STAR HUJUI KESHO ATAAMKAJE, HATA WAKINA ANGELINA JOLIE HAWAKUDHANI KAMA LUPITA NYONG'O ATAIBUKA NA KUA STAR ZAIDI YAO) kwa hyo huyo Vaneta huwezi jua kesho anaweza akawa star yeye kuliko Wema Sepetu, maneno ya majigambo sio mazuri wapenzi maana hatujui kesho yetu ikoje,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment