Haya wale wapenzi wa ma movie ya ukweli ya Hollywood, hii movie ya THINK LIKE A MAN NADHANI WOTE MNAJUA INAPART ONE, SASA PART TWO YAKE INATOKA TAREH 20 MWEZI HUU KWA HYO TUKAE MKAO WA MSOSI.
HUYU NI MUIGIZAJI MEGAN GOOD
HAPA MEGAN GOOD YUKO NA MUMEWE AMBAYE NI MCHUNGAJI(mke wa mchungaji hicho kivazi chake ingekua bongo wangemchambua mpaka angetafuta dela)
MARRY J BRIGE NA YEYE ALIKUWEPO
BIBIE LALA ANTHONY NAE PIA NDANI YA NYUMBA NA KWENYE MOVIE YUMO
GABRIELA UNION NDANI, NA KWENYE MOVIE YUMO
KELLY HILSON NAE ALIKUWEPO
KELLY HAKUMWACHA SHEMEJI MCHEZA BASKET MKONGO
TARAJ P HENSON NDANI YA NYUMBA NA KWENYE MOVIE YUMO
HAPO MWENYE NJANO NI KEKE PALMER NA YEYE ALIKUWEPO ANAMIAKA 20 TU KAMA LULU.
KELLY ROWLAND NA MICHELL WILLIAM WALIKUWEPO
MY MEEN KELVIN HURT NA MAHABA NIUE WAKE WALIKUWEPO NA KELVIN YUPO KWENYE MOVIE PIA
NA HAPA WAKINA TERENCE HORWAD NAO WAPO NA KWENYE MOVIE WAPO.
NI HAYO TU.
No comments:
Post a Comment