Siku hizi naona watu wengi hasa mastar huwa hawana utaratibu wa kurudia nguo inaonekana kama ushamba, lakini mimi siku zote huwa naamini kwamba kama nguo umeinunua kwa hela yako na uliipenda kisa cha kujibana kuivaa mara moja eti ili watu wakusifie hurudii nguo, hell no, mi naamini kwamba kama nguo nimeinunua niliipenda basi hata kama nataka kuivaa mara kumi I will do that, pia wako watu kama Mitchell Obama na mke wa prince William, Kate huwa wanarudia nguo japo wanauwezo wa kununua nguo za gharama yoyote na wakajaza makabatini, na pia wanawake hao wawili huwa wanavaa nguo za gharama ya kawaida ambayo hata mwananchi wa kawaida huweza kuzimudu, kwa hiyo kupendeza haijalishi gharama ya nguo, kupendeza ni mwili wako na uchaguzi wako wa nguo. hata ukishinda unavaa nguo za madesigner kama hujui kujipangilia hutapendeza ng'o, kwa hyo wapenzi msijibane sana kuonekana mjini hamrudii nguo, kama mama Obama anarudia na wewe pia haina haja ya kujibana, ila kama hela yako inaruhusu sawa, lakini kama unaona unamambo mengi ya kufanya kwenye maisha yape kipaumbele na sio kujilazimisha kuvaa nguo mpya kila siku, leo nimewaletea picha zangu za zamani na za sasa za nguo nilizozirudia lakini nikachange vitu vidogo vidogo,
HAPA NI JUZI TU, Rachel kayuni tanzanitemovies blogger
HAPA NI ZAMANI KIDOGO
JUZI TU
ZAMANI KIDOGO
JUZI TU
ZAMANI KIDOGO HAPA NIMEBADILI VIATU NA POCHI NA SIJAVAA KILEMBE
JUZI
HAPA NI SAME JEANS NA KOTI, ILA PICHA YA JUU VIATU TOFAUTI NA PICHA YA CHINI NA TOP TOFAUTI PICHA YA CHINI NIMEVAA SHIRT
JUZI
ZAMANI, SAME SKIRT
ZAMANI
JUZI, HAPA NIMEONGEZEA KUVAA KIKOTI
ZAMANI
ZAMANI PIA LAKINI MKANDA NA VIATU TOFAUTI
OKAY. BONGO MOVIES ITS OKAY KURUDIA NGUO, MSIINGIE TAMAA MKAFANYA MAMBO YASIYONAMSINGI ILI MPATE HELA ZA KUVAA ILI MUONEKANE HAMRUDIAGI NGUO KWENYE MA INSTAGRAM.......yapo mambo mengi ya msingi mnayotakiwa mfanye lakini hela mnamaliza kwenye mavazi mnaenda mpaka kununua nguo za million mbili kama za kina Kim Kardashian wakati hamjajenga.
No comments:
Post a Comment