Saturday, June 7, 2014

LUPITA NYONG'O ACHACHAMARIWA NA WA NIGERIA....






Huyo ni muigizaji wa Marekani mwenye asili ya Kenya LUPITA NYONG'O akiwa Hawaii, Lupita alimua kujiachia beach na bikini nyeupe, kama kawa hizi picha zilivyorushwa na bloggers wa Nigeria basi wa Niger mapovu ya midomo wacha yawatoke, eti wanasema Lupita anaonekana kama mwanaume kwasababu anamatiti madogo na kifua kimekomaa, jamani, hivi siku za nyuma kidogo wanawake wenye maziwa makubwa si walikua wanachekwa kwamba wanamitindi, sasa kibao kimegeuka sasa hivi flat chest watu wanakuchamba mpaka ukafanye sugery, na ukifanya wanakuchamba kwamba fake boobs. MI NAONA TUJIKUBALI KAMA TULIVYO TU KAMA WE HUKIPENDI KIUNGO FLANI MWILINI MWANGU BASI KUNA MWINGINE HALALI ANAWAZA ATAKIPATA LINI.

No comments: