tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Monday, June 2, 2014
MSANII CLOUD AWAPA ZA USO MASISTER DUU WA BONGO MOVIES
STAA wa filamu Bongo, Issa Musa ‘Cloud’ hivi karibuni aliwachana wasanii wa kike na kuwataka kuachana na tabia ya kulia na kuzimia kinafiki kwenye misiba kwani wanaonesha picha mbaya katika jamii.
Sitaki kwenye mazishi ya Recho kumuona msanii yoyote akijiangusha baada ya kuona kamera za waandishi eti wamezimia jamani tuwe wastaarabu na kama ukilia uwe unaumia kweli lakini siyo kinafiki kwani wasanii wa kike wamekuwa na tabia ya kujiangusha huku wakiwaomba marafiki zao wawaangalizie simu zao,” alisema Cloud
HAYO HAPO JUU NDO MANENO MANENO ALIYOYASEMA CLOUD, NIMECOPY KAMA YALIVYO SIJAONGEZA CHUMVI ILA NA MIMI NGOJA NIONGEZEEE KIDOGO YANGU NDO NAFASI ZENYEWE HIZI TENA,,,,,,,
Cloud ulisahau kuwakanya kujipigisha picha za huzuni na kuzirusha instagram, yani kama Wolper alipiga picha kaka kwa huzuni sijui ni chumbani pale kavaa gauni jeusi kakaa huku anaangalia camera kwa huzuni, nikawaza, HIVI MTU UKIWA KWELI UNAHUZUNI UTAKUMBUKA KUMWAMBIA MTU CHUKUA SIMU UNIPIGE PICHA JAMANI? MI NAONA MTU KAMA KWELI MSIBA UMEKUINGIA HAUTAKUMBUKA HATA INSTAGRAM IKO WAPI, mi huwa nawashangaa utakuta wanapost picha wako msibani wamekaa kiuhuzuni, kama unampa simu mtu akupige picha msibani kaa kawaida manake ukijifanya unauzuni huo ni unafki kama unahuzuni kweli picha usingeikumbuka ungejikuta tu umepigwa na wapiga picha pamoja na waandishi, KUNA ZILE PICHA ZINAPIGWA NA MA BLOGGERS AU WAANDISHI AU WATU WENGINE PALE UKITOKEA KIUZUNI INAELEWEKA KWAMBA CAMERA ILIKUKUTA NA HUZUNI LAKINI UNAJIPIGA SELFIE KIHUZUNI AU UNAMPA MTU AKUPIGE THEN UNAWEKA POZI LA HUZUNI.... kweli waigizaji wa Bongo hata wa Hollywood hawafui dafu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment