Friday, June 13, 2014

DIAMOND UWIII WEWE NI NOMER, HAKIKA UNAIPEPERUSHA BENDERA






Huu ni wimbo wa Diamond aliomshirikisha mwanamziki wa nchini Nigeria anayeitwa IYANYA, na hii video haina quality, japo ipo yenyewe yenye quality, JAMANI SIJAWAHI KUANGALIA WIMBO NIKAUPENDA MARA YA KWANZA LAKINI HUU NIMEUKUBALI, yani kwanza kilichonivutia ni kwamba huu wimbo unaweza kusikilizwa na kuchezwa na mtu yeyote Africa na nje pia, yani kweli unaambiwa kwenye sanaa ya sasa usijegambie sauti, jigambe maubunifu na jinsi ulivyosonga mbele, ndo maana Rihana pamoja na kwamba hana sauti lakini ma ubunifu yanamfanya awe juu, hii ni kwa wale wanaomsema Diamond kwamba hana sauti, sauti zilikua Enzi za kina boyz 2 men sasa hivi pipo nataka kuona vitu hadimu na vizuri,

No comments: