Tuesday, June 24, 2014

EMBU ICHEKI HII IMEKAAJE?






Kwenye pita pita zangu za hapa na pale nikakutana na hii, nikaona niimovuzishe hapa, kwenye hizo namba hasa namba 4, 6,9 na 10 kuna mbongo movies yeyote inayomuhusu, kama hamna then wasanii wetu ni mfano wa kuigwa kwenye jamii.

No comments: