Sunday, June 22, 2014

WEMA SEPETU HILI NALO LITAPITA

                             MISS TANZANIA WEMA SEPETU
Najua wengi sana wameonyesha kusikitika juu ya tukio la mama wa miss Tanzania Wema Sepetu kutengenezewa picha isiyo na maadili na Wema mwenye Amelia na kusikia uchungu sana, WEMA MPENZI WEWE NI MTI WENYE MATUNDA, TEGEMEA KUPIGWA MAWE, hao waliomchafua mama wenyewe tu huko waliko wanalaana za mama zao kwasababu ni wazi kabisa hata mama zao wanawadharau, hivi si mnajuaga wale watu wasiowathaminigi mama zao? basi naimani ndo waliotengeneza hiyo picha, kwa hyo Wema usihuzunike kwa ajili ya watu wenye laana, WE ALL KNOW MAMA WEMA, ni mama mwenye maadili ya kiafrika kwa hyo hata watu watengeneze picha ya namna gani hata kipofu atasema huyu sio mama Wema, mliotengeneza hiyo picha MNAZIDI KUONEKANA WAPUUZI NA MNAZIDI KUONYESHA NI JINSI GANI HAMLALI KWA KUMUWAZA WEMA, MMEMUUMIZA KWA MENGI MMEONA NDO ANAZIDI KUBARIKIWA MKAAMUA KUVUKA MIPAKA, kwa taarifa yenu ndo mmezidi kumzidishia Wema mashabiki, kwasababu hivi sasa hata wale waliokua wanamuona Wema mchokozi nao wameungana na Wema kwasababu wanajua ushungu wa Mama.




Wema kama unasoma hapa sikia hii, hivi kama Komba, Obama, mama Obama, mama Clicton wanafanyiwa hivi usishangae hao watu wenye laana wakamfanyia hivyo mama Wema na wamama wengine wenye heshima, cha msingi ni kwamba tunawaona wapumbavu tu, YANI HAYA MAMBO YA PHOTOSHOP YANGEKUA MAGENI KWELI NINGEUMIA MANAKE TUNGEJUA KWELI, LAKINI SIKU HIZI MPAKA WATOTO WANAJUA KWAMBA COMPUTER INAWEZA KUBADILISHA PICHA YA MTU KWA HYO HAKUNA JIPYA ZAIDI NI WAMEONEKANA WAPUUZI, NA WAMEMUONGEZEA WEMA MASHABIKI.


Siku zote nasema kama hamumpendi mtu muombeeni Baraka ndo mambo yatamuaribikia lakini mkimuombea mabaya ndo anafanikiwa, sasa kila mnavyomuombea huyu Wema mabaya ndo karudiana na mchumba wake, na sasa wako serious zaidi na penzi lao, na sasa wanasafiri kila kona wote, na mchumba anaenda BET, na mpaka rais anawatambua, na Wema ndo anazidi kua na furaha kwasababu anakila kitu alichokua anahitaji, sasa roho mbaya hapo imewafaidisha nini, embu anzeni kumuombea Baraka kama hamumpendi.

Ni hayo tu wapenzi, wewe uliyetengeneza picha ya mama wa watu jua kwamba umemdhalilisha mama wa watu lakini im sure hivi sasa kwenye ukoo wako kuna mkosi unatokea maana unapomuonea mtu asiye na hatia Mungu humpigania kweli kweli. kwa hyo TUNAKUPA POLE SANA.


No comments: