Wengi wanasema eti huyu ndie actress mzuri kuliko ma actress wengi bongo, eti yani huyu mschana kabarikiwa TAB IA, UMBILE NA SURA NZURI, eti ukiangalia Wolper ni mzuri wa sura lakini umbile hamfikii, Wema hamfikii, Uwoya hamfikii, sasa hao ndo maactress machachari bongo lakini kwa huyu hawamfikii kwasababu mwenzao kajaaliwa kila kitu, hayo ni maneno ya watu, wewe waonaje?
No comments:
Post a Comment