tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Thursday, June 12, 2014
HEBU MSIKIE DIAMOND ALIVYOMZALENDO.
Yani ninapompendea shemeji Diamond ni hapo tu, ukimsikiliza Diamond kwenye hii interview utagundua jinsi alivyona uzalendo wa hali ya juu, hapo Diamond anaongelea tuzo za mtv na jinsi alivyokosa ushindi, kilichonivutia ni hiki, IKIFIKA WAKATI WA KUONGELEA TUZO DIAMOND ANASEMA NILIKUA NA IMANI (TUTAPATA USHINDI) yaani neon tuta maana yake yeye anachukulia ushindi wake ni wetu sote, angekua mtu mwingine angesema NITAPATA USHINDI, na pia nilipenda aliposema HATA KAMA MWAKA HUU TUMEKOSA USHINDI NAIMANI MWAKANI TUTAFANYA VIZURI, yani jinsi anavyochukulia kama hizi tuzo ni za watanzania wote si zake peke yake ndo ANAPONIFURAHISHA. anyway, DIAMOND NATAKA NIKWAMBIE TU, WATU TUNAOJIITA MASHABIKI WAKO SIO MASHABIKI WA DAKIKA MBILI NI MASHABIKI TUNAOKUPENDA KAMA TUMEZALIWA WOTE.
( mi nilishangaa tu kabla ya tuzo Jackie alikua anawasihi watu wampigie kura Diamond lakini aliposhindwa tu huyo huyo Jackie akageuka na kuanza kumsifia Davido) mh ninyamaze.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment