Tuesday, June 17, 2014

MECY JOHNSON WA NIGERIA MAMBO BAM BAM


Wakati Wema akikanusha kwamba si mjamzito, huko Nigeria muigizaji bei mbaya MECY JONHSON yeye kanasa ujauzo, Mercy ambaye ni mama wa motto mmoja anayeitwa PURITY na pia ni mke wa mfanya biashara mashuhuri hivi sasa anaonekana maeneo mbalimbali akiwa na kitumbo ndii cha motto wa pili.







No comments: