Wednesday, June 4, 2014

MWILI WA GEORGE TYSON WAAGWA LEO MCHANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB












MUNGU AWAPE NGUVU WAFIWE WOTE KATIKA KUUSINDIKIZA MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON KISUMU NCHINI KENYA. MAREHEMU ALIKUA NI RAIA WA KENYA NA LEO AMEAGWA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB LAKINI BAADA YA HAPO MWILI WAKE UTASAFIRISHWA.

No comments: