tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Friday, June 20, 2014
SHILOLE NA KASHFA YA UTAPELI
MUIGIZAJI ambaye kwa sasa amejikita kwenye muziki, Zuena Mohammed ‘Shilole’ amegandwa na madai ya utapeli kufuatia jamaa mmoja aitwaye Samir kuibuka na kudai kuwa, walimpa shilingi laki mbili ili awakodishie madansa kwa ajili ya video yao lakini mpaka sasa anachenga
Samir alisema: “Shilole aliomba kiasi hicho cha fedha, meneja wangu akamtumia lakini baada ya hapo ahadi zikawa nyingi na simu akawa hapokei, sasa kama siyo utapeli ni nini?”
Akijibu tuhuma hizo, Shilole alisema kwa sasa yeye ana uwezo kifedha hivyo hawezi kudhulumu kiasi hicho kidogo cha pesa ila wao wanapowahitaji wacheza shoo wake wakarekodi, yeye anakuwa yuko bize nao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment