MUIGIZAJI MACHACHARI WA NIGERIA TONTO DIKEH
Inasemekana kwamba boyfriend wa muigizaji wa Nigeria anayeitwa Tonto Dikeh amemnunulia muigizaji huyo zawadi ya gari la kifahali aina ya MERCEDES BENZ G WAGON kama mnavyoliona hapo juu, liza ya hilo gari eti kuna mazagazaga mengine mengi aliyonunuliwa kama saa ya ROLEX na mengineyo, MH JUZI TU GENEVIEVE NNAJI NAYE KANUNUA GARI KAMA HILO HAIJAPITA MWEZI TONTO NAE KAJIBU MAPIGO, ILA UZURI GENNEVIEVE KAJINUNULIA MWENYEWE HUYU MWENZAKE KAHONGWA.
No comments:
Post a Comment