Msanii wa movie mwenye mafanikio wa nchini Nigeria anayeitwa Jim Iyke, siku si nyingi ameondokewa na mama yake kipenzi.
Basi naa ya mama yake kufariki Jim akaamua kwenda kujichora Tatoo yenye jina la mama yake, tattoo hiyo inasomeka GLADYS 4 EVER, tattoo hii ndo ya kwanza mwilini mwa Jim, japokua Jim ni muigizaji anaenda sana na fashion nimeshangaa kusikia hii ni tattoo yake ya kwanza, lakini CHA MAANA NI KWAMBA TATOO YA KWANZA NI KWA AJILI YA MAMA YAKE.
NA HUYU NDO MCHUMBA WA JIM ANAYEITWA NADIA BUARI NI MUIGIZAJI MGHANA.
TURUDI BONGO.
Wengi wamekua wakimsema huyu motto hapa chini ambaye ni mwanamziki wa bongo flavor anayeitwa Nuhu Mziwanda kwa kitendo chake cha kujichora Tatoo yenye jina la mpenzi wake badala ya mama au baba, Wengi wamekua wakihoji hivi je, itakapotokea wameachana hiyo tattoo ataifanyaje?
HAPA NUHU AKIWA NA MPENZI WAKE MWANAMZIKI SHILOLE
TATOO YA NUHU ILIYOANDIKWA JINA LA MPENZI WAKE TENA JINA FAKE
Kilichochekesha zaidi ni pale huyo motto alivyoamua kuandika A.K.A ya Shilole badala ya kuandika jina halisi la Shilole ambalo ni Zuwena, Tatoo hiyo inasome SHISHI BEIB,
NA HUYU NI SHILOLE
Nuhu kwasababu hiyo haifutiki basi tuiache, NEXT TIME UKIPATA MPENZI MWINGINE MAANA UMRI WAKO MDOGO BADO KUNA WENGINE WATAKUJA, PULIIIZ DONT. jichore tattoo zenye maana kama ya mama , motto au baba.
No comments:
Post a Comment