WEMA NA AUNT EZEKIEL WAKISAKATA LUMBA, HAWA WANAPICHA CHAFU WALIZOPIGWAGWA JUKWAANI KIPINDI CHA FIESTA NIMESHINDWA KUZIWEKA.
SHILOLE
HAPO SHILOLE AKISHIKWA MAZIWA NA SHABIKI NA YEYE ANAACHILIA TU PUUUU.
Twende kwenye mada, kwanza kabisa hawa mabinti ni waigizaji lakini hivi sasa shilole kajikita zaidi kwenye mziki, Wema na Aunt sijui wanakubaligi kufanya nini jukwaani wakati wenyewe sio wanamziki, hivi mmewahi kumwona Genevieve nnaji anaenda kujichezesha jukwaani au Angelina Jolie, sio kila mnacholipwa kufanya mkubali mengine kataeni kulinda hadhi zenu. Sasa bwana leo asubuhi bungeni muheshimiwa Catherini Magige aliuliza swali kuhusu club za usiku kuwazalilisha wanawake kwa kuwachezesha nusu uchi, na mbunge Juma Nkamia akalijibu hilo swali kwa kuelezea jinsi serikali ilivyochukua hatua kwa kuvifungia vikundi vya wacheza uchi, na pia AKASEMA TUMESHATOA NA ONYO KWA BAADHI YA WASANII WENYE TABIA HIZO KAMA SHILOLE, WEMA NA AUNT EZEKIEL. wajameni mnatakiwa mkizungumziwa bungeni mzungumziwe kwa mazuri mliyoyafanya kwenye sanaa, kwa jinsi mnavyopeperusha bendera ya Tanzania duniani sio kwa kucheza uchi.
ILA HILI SWALA NIMELILETA KWASABABU LIMEZUNGUMZWA LEO BUNGENI NA WAHUSIKA WAMETAJWA KWA MAJINA NA KWA VILE NI BONGO MOVIES NIKAONA NILILETE, LAKINI WWEMA NA AUNT WALISHAOMBAGA RADHI PALE IDARA YA HABARI NA MAELEZO KWA ZILE PICHA CHAFU, NA KUANZIA KIPINDI HICHO HAWAJAWAHI KUJIACHIA VILE TENA.
No comments:
Post a Comment