Saturday, June 7, 2014

SHEMEJI DIAMOND PLATINUMZ ANAVYONG'AA SOUTH.









Jamani majina yanaumba, ukitaka kufanya biashara au kutumia jina linguine tofauti na lako kisanii chagua jina zuri na lenye maanda nzuri, ukichagua kujiita masumbuko basi utasumbuka studioooo weeee kutoka usitoke, ukijiita DIAMOND PLATINUMZ lazima UNG'AEEE.


                    TUNAZIDI KUMUOMBEA ALMASI WETU ASHINDE. hizo ni picha akiwa south maandalizi ya tuzo hapo kama mnavyomuona sambamba na wakina Davido na Mafikizolo.



No comments: