Tuesday, June 24, 2014

EX WA JACKLINE WOLPER AFUNGUKA KUHUSU KASHFA YA USAGAJI KWA JACKIE






Mpenzi wa zamani wa Jackline Wolper leo uvumilivu umeshinda na kaamua kufunguka, ni baada ya gazeti moja kutoa habari inayosema kwamba eti huyu kijana anayeitwa Gerad amethibitisha kwamba ni kweli Jackline ni msiganaji, Gerald au Gmodel ameamua kukanusha kupitia page yake ya intagram leo asubuhi, alisema kwamba  hajawahi kuhojiwa katamka maneno kama hayo, anamuheshimu Jackie na pia anaumizwa na kashfa kama hizo kwani wao pia vijana wenye wazazi, JAMANI KAMA HAYA MAMBO JACKIE ANASINGIZIWA ITAKUA INAUMA SANA, EMBU IMAGINE MKIWA SHULE TU MTU AKUSINGIZIE JAMBO INAVYOUMA,SASA KUSINGIZIWA JAMBO NA TANZANIA NZIMA WANASIKIA SI NDO INAWEZA KUMFANYA MTU APATE KICHAA KABISA, 

No comments: