Wednesday, June 11, 2014

KWA WANAOMFUATILIA HALLE BERRY WA MAREKANI HII UNAWEZA KUISOMA.



Halle Berry Honored With A Star On The Hollywood Walk Of Fame


Huyo ni muigizaji wa Hollywood Halle Berry, ambaye yupo na aliyekua mume wake wa zamani Gabriel Aubry. inasemekana kwamba Gabriel anatakiwa kulipwa na Halle Berry kiasi cha dola 115,000 dola kama child support, na dola 300,000 legal fees, malipo hayo ni kwa aajili ya motto wao waliompata pamoja kipindi wako kwenye mahusiano motto huyo anaitwa Nahla, chokochoko za baba motto kutaka kukaa na mwanae zilianza pale Halle alipopata boyfriend mwingine ndo Gabriel akaona mh yani motto wangu alelewe na libaba linguine hebu ni fight nikae na mwanangu, MH ILA KIJANA KAPATA FAIDA MANAKE MWANAMKE ANAMLIPA MAHELA YOTE HAYO KILA MWEZI KWA AJILI YA MTOTO, MAISHA YA ZAMANI TULIZOEA MWANAUME NDO ANAYELIPIA LAKINI HIVI SASA WOTE HAKI SAWA KWENYE KULIPIA, YANI ULE MSEMO WA MWANAUME ATAKULA KWA JASHO UMEYEYUKA SIKU HIZI MWANAMKE ANAKULA KWA JASHO NA ANAZAA KWA UCHUNGU HALAFU MWANAUME ANAKULA BATA.

No comments: