tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Tuesday, June 10, 2014
KWA WALE WENYE CHUKI NA SHEMEJI DIAMOND PLATINUMZ HII INAWAHUU
Wakati wale wenye roho za husda hapa mjini wanaitwa wakaanga SUMU wakiendelea kuchekelea eti mtanzania mwenzao Diamond hajarudi na tuzo za mtv huku wakisahau kwamba Diamond hii ni mara yake ya kwanza kuwania tuzo hizo tena ameshindanishwa na manguli wa Africa na pia hata hao manguli wenyewe kama PSQUARE nao wamerudi mikono mitupu, basi wenye chuki hii nayo nadhani mta nyaa fenesi, NI HIVI KIJANA WETU AMBAYE NDO YUKO JUU KIMZIKI TZ NZIMA DIAMOND, hivi sasa anafanya corabo na wakali wa mziki Africa nzima MAFIKIZOLO, kundi hili la mziki ni la Africa kusini lakini ni kundi maarufu bara Zima na juzi wamepata tuzo kama tatu hivi, inasemekana kwamba kundi hili lilianza kumsikia Diamond na kuamua kumsaka kama miezi mine iliyopita, likazama kwenye magoogle kupata habari za Diamond na kukubali kwamba kijana yuko juu, hivyo wakawa wanamnyemelea akienda kwenye tuzo tu wamnyakue na wamefanya hivyo tena fasta, leo asubuhi kwenye kurasa za wanamziki hao za insta wamejinadi kwamba wako studio na Diamond wanafanya ngoma pamoja,
WENYE CHUKI MNAJUA MAANA YA HII KITU...............ni hivi kama Diamond alishirikiana na Davido ambaye si mwenyeji sana kwenye fani akainuka kiasi kile, basi hivi sasa ndani ya mwaka mmja tu Diamond atakua juu kuliko huyo Davido wenu, maana hawa mafikizolo wako kwenye game toka mwaka 97 na wanajulikana Africa kabla hata davido hajaanza kujua kuwasha radio, kwa hyo hii itamuweka Diamond kwenye ramani nyingine kabisa.
NDUGU ZAKE DAVIDO MLIOPO TANZANIA MPOOO, DADA ZAKE DAVIDO WAKINA JACKIE, LOVE, REHEMA, NA WENGINE MPO? jamani nimegoogle nimeona Davido anadada zake wakuzaliwa tumbo moja watatu na majina yao ndo hayo hapo ila wanaishi Tanzania.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment