Wednesday, June 11, 2014

SI MNAMKUMBUKA BISHANGA BASHAIJA WA KUNDI LA MAIGIZO LA MAMBO HAYO? HII NDO HABARI YAKE.

Bishanga


Kwa wale wazee wenzangu ambao Enzi hizo tulikuwaga hatotoki kwenye tv kisa kuangalia michezo ya kuigiza kama mambo hayo na kaole, basi najua mtakua mnamjua huyu jamaa hapo juu kwenye picha, jina lake la kisanii anaitwa Bishanga Bashaija alikuwaga anaigiza katika kundi la MAMBO HAYO Enzi wakiwa na Richie, Aisha na waridi, muigizaji huyu alijipa jina la kihaya kutokana naa kuweza kwake kuigiza sauti ya kihaya bila kupinda pinda, basi habari njema ni hi hivi, JAMAA HUYU HIVI SASA KAAMUA KURUDI KWENYE SANAA BAADA YA KUKAA KIMYA KWA MUDA MREFU KAONA KIPAJI CHAKE KISIJE KUPOTEA BURE, HIVI SASA TUTAANZA KUMUONA TENA KWENYE MA MOVIE NA WAKALI KAMA WAKINA JB.


Bado Aisha sijui yuko wapi yule dada nilikuwaga nawapenda kweli ye na Warid.

No comments: