Tuesday, June 10, 2014

HIVI DIVA NDO NANI? NIMEMSIKIA KWENYE COMMENT ZINAZOMUHUSU WEMA NA DIAMOND KUANZIA JUZI, NISAIDIENI NIMJUE

Kwenye pita pita zangu za kwenye maccoment niliona watu wanamtuhumu mtu anayeitwa Diva kwamba sijui hajaonyesha uzalendo siku mkali wetu Diamond alivyotuwakilisha MTV AWARDS, nikasema kwani huyu Diva ndo nani manake simjui ila kwa kua kahusihswa na shemeji wa bongo movies basi nikaamua kumsaka Google.



SASA NISAIDIENI WADAU, NIMEONA PICHA ZA WATU WAWILI TOFAUTI, JE DIVA NI HUYU MWENYE HIZI PICHA HAPO CHINI? AU
                                                     DIVA 1






AU NDO HUYU MWENYE HIZI PICHA ZINAZOFWATA HAPA CHINI? NA NI NANI? MSANII, MWANASIASA AU ALIWAHI KUA MISS YANI SIJUI UMAARUFU WAKE UMETOKANA NA NINI KWASABABU NILIKUA SIMJUI KABISA BILA KUTAJWA KWENYE COMMENT ZINAZOMUHUSU WEMA NA DANGOTE NISINGEMJUA HATA JINA. nimekuja kuchanganyikiwa kwenye picha, au hizo za juu ni mambo ya ma EDITING? au kuna watu maarufu wawili wanaitwa Diva, maana ni tofauti kabisa hizo picha, kama ndo ma editing hayo jamani ni bora tuyaache tujikubali tulivyo.
DIVA 2



51Diva






62Diva


NIMEJITAHIDI SANA KUANGALIA HIZI PICHA NAONA ZA KULE JUU NA ZA CHINI WATU WAWILI TOFAUTI, JAMANI KAMA NI MUIGIZAJI MNIAMBIE ILI NIWE NATAFUTA HABARI ZAKE MAANA NAONA ANANINOGA.

1 comment:

Anonymous said...

Loveness aka Diva mtangazazaji wa cloud FM. Hizo picha rachel ni mtu mmoja mambo ya kujichubua hayo si unajua tena.
Wadada wa mujini.