tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Saturday, June 7, 2014
BATULI NDANI YA GAZETI LA LEO,
Batuli ameiambia Bongowood kuwa, hana uhakika kama wasanii hao vifo vyao vinatokana na mkono wa mtu kama minong’ono iliyoenea lakini kama kuna mambo ya nguvu za giza yanaendelea, kwake watashindwa sababu anamtegemea Mungu.
“Sitaki kuamini sana kama hali hii inatokana na nguvu za giza lakini kama kuna mambo ya ushirikina yanatendeka basi kwangu watashindwa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu,” alisema Batuli.
WASANII HAKUNA CHOCHOTE KUHUSIANA NA HIVI VIFO, UKIFWATILIA, KILA MAHALI WATU WANAKUFA SEMA TU KWASABABU NYIE MNAJULIKANA NDO MAANA INAONEKANA WASANII WANAKUFA SANA, MWAKA JANA PIA WASANII WA MOVIE NIGERIA TENA WALE MALEGEND WALIKUFA SANA WAKINA JUSTUS ESIRI, ENEBEL, YALI WALIKUFA KAMA WATANO HIVI. KIFO KIPO MJITAHIDI TU KUISHI KWA AMANI NA KUSALI ILI KIKIFIKA SAFARI YAKO IWE NJEMA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment