Friday, June 13, 2014

KUHUSU VIFO VYA WASANII NABII MWINGINE AIBUKA ATABIRI WASANII 20 WENGINE WATAKUFA.


       NABII MWENYEWE

MAREHEMU MZEE SMALL



MAREHEMU ADAM KUAMBIANA



MAREHEMU RACHEL HAULE



MAREHEMU GEORGE TYSON



Eti nabii anayeitwa NABII BENDERA ametoa utabiri kwamba licha ya hao wasanii wane walifariki ndani ya mwezi mmoja, eti wasanii wengine 20 watafuata, anasema amepewa maono na MUNGU, eti anasema kwamba kama wasanii wanataka kuepuka hicho kifo INABIDI WAENDE KANISANI KWAKE WAKAPAKWE MAFUTA YA UPAKO, ni hayo tuu wapenzi. Mkiitaka kwa undani hii news pitia gazeti la ijumaa.

No comments: