Thursday, June 5, 2014

TBT WEMA SEPETU na RACHEL






Tbt ya leo, nikiwa na mschana asiye na maringo na asiye na makuu, my number one actress in Tanzania, mchumba wa my number one musician in Tanzania, Miss Tanzania 2006, WEMA SEPETU. Tunawaombea kwa Mungu mrudi na ushindi kwenye tuzo za MTV.

1 comment:

Anonymous said...

Amina jamani watarudi nazo coz mungu anawapenda mno na ndiyo maana na wao wanapendana! Na waendelee kupendana hivyo hivyo