Sunday, June 29, 2014

KUBWA KULIKO WEEK END HII....................NI KUACHANA KWA MTANGAZAJI DIDA NA MUMEWE EZDEN.








Habari ya mjini hivi sasa ni kuhusu kuachana kwa Dida na mumewe Ezden, habari nyingi zimetapakaa lakini habari za kweli wapenzi ni zile zitakazotoka kinywani mwa wahusika, nafanya jitahada za kupata habari zenye ukweli kamili, habari itakayo kua haina chumvi.

1 comment:

Anonymous said...

alizidi mashauzi na yeye. Promo kibao kila saa mume wangu mume wangu kutwa kwenye mablog, haya sasa aibu yote hiyo ataiweka wapi?