BEAUTFULL MODEL HAMISA MOBETO
KIAPO! Modo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto amefunguka kuwa katika maisha yake, kamwe hawezi kushea penzi na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Beutiful Onyinye’.
KIAPO! Modo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto amefunguka kuwa katika maisha yake, kamwe hawezi kushea penzi na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Beutiful Onyinye’.
Siwezi kushea penzi na Wema hata siku moja, niaminini, nina maisha yangu mengine kabisa wapo wanaoweza kufanya hivyo lakini si mimi,” alisema Hamisa
WEMA NA CHIBU DIAMOND
HAYO NI MANENO YA HAMISA MOBETO, ILA HIYO KAULI YA SIWEZI KUSHARE PENZI NA WEMA SIIELEWI? MAANA YAKE ANAMUHESHIMU SANA WEMA KAMA DADA YAKE NDO MAANA HAWEZI KUSHARE NAE PENZI?, AU WEMA YUKO CHINI SANA? AU NI KAULI TU YA KAWAIDA, BADO SIIELEWIELEWI.
2 comments:
Aka nako kanajigonga kwa dai hakana lolote. Ndio wale wale wa kumuonda wivu wema. Ndio mana kameingia kwenye filam wameona huko ndio kwa kutangazia biashara. Mara kapige picha uchi.Eti modo. Mbona flaviana hana haya mambo. Mxiuuu sikapend hata kidogo. Kwanza kwa wema bado. Nakaona kanatafuta umaarufu mxiuuu na huko bongo movie ndio mana filam zetu hazina viwango coz tunajichukulia watu hovyo tu.
Naomba nkuulize. Hv huwa unapata muda wa kuongea na wema? Pls naomba mshauri sana akazane kucheza filam. Ikibid kwa jina la chibu na km aliweza kumleta omotola angeweza kutufanyia mabadiliko. Mwambie asikae. Filam zake zinapendwa sana. Pls tell her. We love her. Tunataka kuona filam zake.
Post a Comment