Wednesday, June 18, 2014

KATI YA WEMA NA PENNY, UNAHISI NANI AKIWA NA DIAMOND ANAMFANYA DIAMOND ANG'AE NA WANAPENDEZEANA?

    HAPA WEMA NA PENNY ENZI ZA USHOSTI KABLA HAWAJASHARE MWANAUME

                                              
                                         PENNY NA DIAMOND ENZI ZA MAHABA

WEMA NA DIAMOND

PENNY NA DIAMOND

WEMA NA DIAMOND

PENNY NA DIAMOND

WEMA NA DIAMOND

WEMA NA DIAMOND
                                                  
                              PENNY NA DIAMOND
 
WEMA NA DIAMOND

PENNY NA DIAMOND

WEMA NA DIAMOND



Hawa mabinti kwanza walikuwaga marafiki, then Penny akampindua Wema na baadae Wema akamrudisha Diamond kundini, sasa, wanamambo mengi wanayofanana hawa mabinti, kwanza kabisa huwa HAWANA TIME YA KUBWATUKA HOVYO KWENYE MEDIA PINDI WANAPOGOMBANA NA MTU, na pia huwa hawana time ya KUMJIBU MTU PINDI WANAPOTUKANWA NA MASHABIKI. Leo mdau nataka unieleze kati ya hawa warembo unaona yupi ndo anapendezeana na Diamond? na unaona yupi ambaye akiwa na Diamond ndo D anakua na swagga za kinyamwezi? na yupi anamfanya Diamond awe na maendeleo?

4 comments:

Anonymous said...

Unauliza karafuu Pemba!! WEMA ndo mpango mzima na ndo maana Diamond atazunguka kooteee mwisho anarudi hapo hapo.

Usitukumbushe ya maua kitandani na mishumaaaa!!!

Anonymous said...

Wema anamng'arisha chibu ukweli Hata wakikaa wanapendezana sana

jasshantelly said...

Tukiacha shabik jamni Mimi ni teamwema Kabisa damuu lkn hzo picha znajionyesha dhahir kabsa kwamba diamond anapendeza saana na wema na pia wanapendana saana to be honest they meant to be together

Anonymous said...

unapigia jibu msstari?wema ndio kila kitu duu hiyo pic ya maua kitandani walipauka penny ovyoo alikiona cha moto chezea chinaaaaa halooooooooooo