Monday, June 30, 2014

EEHHHH SASA HII NDO VIDEO INAYOMUONYESHA MUME WA DIDA EZDEN AKISEMA SABABU YA KUMPA TALAKA 3 DIDA











Jana nilisema jamani msiamini fununu kwenye magazeti na blogs nyingine hawajamuhoji mtoa talaka,hizo sababu za kufamiwa sio kweli kama kafumaniwa basi kungekua na ushahidi wa picha, sasa leo nisiandikie wino na wakati mate yapo, fungua masikio msikilize EZDEN mwenyewe akiweka wazi kisa cha kumpa DIDA talaka 3.     

7 comments:

Anonymous said...

POLE EZDEN HUYO SIYO MWANAMKE WA KUOA HUYO NI GUME GUME LILILOWASHINDA MITUME. WE KIJANA MDOGO KWA NINI UKAENDA KUOA MAKOMBO YALIYOWANSHINDA WENGINE. POLE SANA.HUYO SIYO TYPE YAKO KWANZA HAMATCH KABISA TAFUTA SIZE YAKO WA KUFANANA NA WEWE. POLE SANA BABA.

Unknown said...

Uwiiiiiiiii so sad jaman Ezden pole jaman ndo dunia hii
Ila sio kosa lako ni mapenzi ndo yalikufanya uzame huko bt nxt tyme tafuta mwanamke wa kuoa ambae hajawai ingia kwenye ndoa
Jiulize G nae kwann waliachana? Na nyie wanaume muwe mnashauriana jman looh

Anonymous said...

jamani mbona kwangu haitoa sauti computer yangu ndo tatizo?

Anonymous said...

mh Dida embu jicheki kwanza halafu chaki umri wako maana unakaribia miaka 35, dini yako, yani big brother waachie wakina Vanessa mdee,

Anonymous said...

kweli ukistaajabu ya Musa , hivi dida kingereza chenyewe nehi, na miyo minyama uzembe unataka tu kwenda kua kituko

Anonymous said...

SIYO NANI ATAMCHAGUA KUSHIRIKI HIYO BIG BROTHER KINGEREZA CHENYEWE HAJUI LABDA AKAONGEE KIKWAO. YALAAAA

Anonymous said...

Dida shangingi la kimataifa siyo mwanamke wa kuoa huyo. Ezden we kijana mdogo sana una elimu yako. Piga kazi asikulostishe huyo shangingi.