Sunday, June 29, 2014

DIAMOND PLUTNUMZ KUTOKA TANDALE MPAKA B.E.T WALK OF FAME...... MUNGU ANAWEZA JAMANI.

1

The Hollywood Walk of Fame comprises more than 2,500 five-pointed terrazzo and brass stars embedded in the sidewalks along 15 blocks of Hollywood Boulevard and three blocks of Vine Street in Hollywood, California. The stars are permanent public monuments to achievement in the entertainment industry, bearing the names of a mix of actors, musicians, directors, producers, musical and theatrical groups, fictional characters, and others. The Walk of Fame is administered by the Hollywood Chamber of Commerce and maintained by the self-financing Hollywood Historic Trust. It is a popular tourist destination, with a reported 10 million visitors in 2003
eeehhhh na DIAMOND YAKE HIYO HAPO JUU, ILA YA DIAMOND NI B.E.T WALK OF FAME, KIJANA KATISHA, WAMAREKANI WANAMTAMBUA KIJANA KUTOKA TANDALE.




DIAMOND WETU.

9


P.DIDY NA YAKE HAPO DOWN.
 


               BABY FACE NA YAKE

                          JANEFER HUDSON NA YAKE

                                   DESTINY'S CHILD NA YAO
                   
                                        CHRISTINA AGULELA NA YAKE


Kuna neno tena hapo jamani, hata kama Davido kachukua ushindi lakini kwa kijana wetu alipofikia ni pakubwa, wale aliokua anawatazama kwenye tv akiwa TANDALE hivi sasa anatizamana nao ana kwa ana, 

KWELI HAYA MAISHA JAMANI SIO YA KUMDHARAU MTU LEO UNACHO KESHO HUNA, KILA NGAZI  YA MAFANIKIO ANAYOPANDA DIAMOND HUWA NAKUMBUKA KITU KIMOJA, KWAMBA KUTOKA TANDALE MPAKA HAPO ALIPO? NIKISHAKUMBUKA HIVYO NAPATA MOYO SANA KWAMBA NA MIMI NINAWEZA, NA PIA NAPATA IMANI KWAMBA MUNGU HASHINDWI, DIAMOND WEWE NI MFANO WA KUIGWA SANA, WEWE UMETOA KILE KISINGIZIO KWAMBA WANAOFANIKIWA NI WATOTO WA WAKUBWA TU NA WALIOKULIA UZUNGUNI, WEWE UNAONYESHA KWAMBA POPOTE PALE ULIPOKULIA NA KWA MZAZI YEYOTE YULE MAFANIKIO YAPO NI KUJITUMA TU.    





2 comments:

Anonymous said...

Sijawahi comment humu but today I have to, jamani watanzania ndugu zanguni tujifunze kushukuru. Hata kama naseeb hajapata tuzo c wakati wa kumnanga na kumsema vibaya, tumpongeze jamani hata kama huendi kazi zake. Kwakua wa kwanza kufikia hatua hiyo pia ni hatua kwani ameshaipanua njia ipasavyo, hao mnaowaamini kua wanaweza basi watafuata footstep A diamond. Dada rechal me napenda tu ndugu yangu kama Una opportunity ya kuweza kufikisha ujumbe kwa diamond muambie asilewe sifa aendelee kuongeza nguvu, now bado kuna KORA AWARDS awahamasishe watu how to vote, Sababu naona wamekaa kimya kuhusu hili. Nafuatilia sana upigaji kura kwenye Facebook page ya kora tumetupwa mbali wskati mwanzo tulikua tuna LEAD. Mwisho IM so proud of our own DIAMOND PLATNUMZ

Anonymous said...

hiyo si Hollywood walk of fame ni BET walk of fame.kupata Hollywood walk of fame si kitu rahisi.so Tanzanitemovies blog kabla hujaweka information chunguza kwanza.