Tuesday, June 3, 2014

DIAMOND NA SHEMEJI YAKE WAKO JUU

Mwanamziki Diamond ambaye ni mume mtarajiwa wa muigizaji Wema Sepetu alikua kikazi nchini Marekani New York kwa bahati nzuri Rais wetu nae alikuwepo kwenye huo mji basi kama mnavyomjua Rais wetu huwa anaupendo sana na wasanii Diamond akapata nafasi ya kwenda kusalimiana nae.


qqqqqqqqqqqqqq


SHEMEJI DADA WA WEMA SEPETU HAKUWEPO NYUMA ALIKUA SAMBAMBA NA SHEMEJIE, SHEMEJI NI HUYO MWENYE TOP YA MISTARI MZURI KAMA MDOGO WAKE WEMA.dada yake Wema anameno mazuri jamani.



d3


HAPA NI KWENYE YALE MAMBO TUYAPENDAYO YA KUTAFUNATAFUNA.
d1
Kilichonifurahisha sana mimi sio Diamond kuonana na Rais maana Rais wetu huwa anaonana sana na wasanii na hata wakipata misiba kama yupo nchini hua anaacha shughuli zake na kwenda kuhudhuria, KILICHONIFURAHISHA NI DIAMOND KUONANA NA DADA YAKE WEMA SEPETU MANAKE WATU WANASEMAGA FAMILIA YA WEMA HAIMTAKI DIAMOND LAKINI NAONA DADA KAFURAHI BALAA KUMUONA SHEMEJI NA KUNA PICHA WALIPIGA WAKO KWENYE MGAHAWA WANAENJOY WENYEWE.

2 comments:

Anonymous said...

Wananchi wenye chuki wapo wengi sana wanajifanya manabii! Wakafie mbali diamond anapendwa sana na mashemeji zake! Mungu awajalie wafikie malengo!

Anonymous said...

Familia ya sepetu mbona wazungu sana tu,wanampenda mno diamond cos ndo chaguo la wema!