Monday, June 30, 2014

EEHHHH SASA HII NDO VIDEO INAYOMUONYESHA MUME WA DIDA EZDEN AKISEMA SABABU YA KUMPA TALAKA 3 DIDA











Jana nilisema jamani msiamini fununu kwenye magazeti na blogs nyingine hawajamuhoji mtoa talaka,hizo sababu za kufamiwa sio kweli kama kafumaniwa basi kungekua na ushahidi wa picha, sasa leo nisiandikie wino na wakati mate yapo, fungua masikio msikilize EZDEN mwenyewe akiweka wazi kisa cha kumpa DIDA talaka 3.     

CHANZO KIKUU CHA TALAKA YA DIDA NI SHINDANO LA BIG BROTHER.........

Dida ambaye alipata umaarufu kupitia uigizaji, hivi majuzi ametengana na mumewe mtangazaji mwenzake Ezden the rocker, mengi yameandikwa juu ya kutengana kwa wawili hao lakini TANZANITEMOVIES BLOG inakupa kisa kamili cha kutengana huko,
                                DIDA NA EZDEN ENZI ZA NDOA YAO
Chanzo cha talaka ya Dida ni shindano la BIG BROTHER, inasemekana kwamba eti Dida ambaye ni mke wa mtu na mama wa motto mmoja alikua anataka kwenda kwenye shindano la big brother la mwaka huu, lakini mumewe EZDEN alikua anapinga kwa nguvu zote jambo hilo, na sababu ya mumewe kupinga ni kutokana na kwamba Dida ni mke wa mtu na big brother siku zote inalalamikiwa haina maadili ya kiafrica, hasa kwenye yale mambo ya kuonyesha watu wakiwa wanavaa,kuoga n.k kitu hicho EZDEN kama mume hakua tayari kukishuhudia, hakuwa tayari kuona mkewe akiwa anaonekana Africa nzima akivaa au kuoga, au akiwa tungi, mume yeyote wa kiafrica hawezi kuwa tayari kushuhudia jambo hilo,


                                                      DIDA NA EZDEN ENZI ZA NDOA YAO

Basi baada ya kuona mumewe hataki yeye akashiriki BIG BROTHER inasemekana DIDA aliamua kama mumewe hataki yeye ashiriki big brother BASI AMPE TARAKA YAKE. kwani hawezi kuacha ndoto zake kisa mume, kwa hyo bora BIG BROTHER KULIKO NDOA.

ni hayo tu wapenzi, haya yote nimeyapata kutoka kwenye chanzo makini, nimefanya mahojiano maalumu, hii ndio sababu kubwa kwa mujibu wa mahojiano, hayo mnayosoma magazetini hayana ukweli yakusema eti ndoa imevunjika kisa password ya simu, hawajamuhoji mtoa talaka.

Sunday, June 29, 2014

DIAMOND PLUTNUMZ KUTOKA TANDALE MPAKA B.E.T WALK OF FAME...... MUNGU ANAWEZA JAMANI.

1

The Hollywood Walk of Fame comprises more than 2,500 five-pointed terrazzo and brass stars embedded in the sidewalks along 15 blocks of Hollywood Boulevard and three blocks of Vine Street in Hollywood, California. The stars are permanent public monuments to achievement in the entertainment industry, bearing the names of a mix of actors, musicians, directors, producers, musical and theatrical groups, fictional characters, and others. The Walk of Fame is administered by the Hollywood Chamber of Commerce and maintained by the self-financing Hollywood Historic Trust. It is a popular tourist destination, with a reported 10 million visitors in 2003
eeehhhh na DIAMOND YAKE HIYO HAPO JUU, ILA YA DIAMOND NI B.E.T WALK OF FAME, KIJANA KATISHA, WAMAREKANI WANAMTAMBUA KIJANA KUTOKA TANDALE.




DIAMOND WETU.

9


P.DIDY NA YAKE HAPO DOWN.
 


               BABY FACE NA YAKE

                          JANEFER HUDSON NA YAKE

                                   DESTINY'S CHILD NA YAO
                   
                                        CHRISTINA AGULELA NA YAKE


Kuna neno tena hapo jamani, hata kama Davido kachukua ushindi lakini kwa kijana wetu alipofikia ni pakubwa, wale aliokua anawatazama kwenye tv akiwa TANDALE hivi sasa anatizamana nao ana kwa ana, 

KWELI HAYA MAISHA JAMANI SIO YA KUMDHARAU MTU LEO UNACHO KESHO HUNA, KILA NGAZI  YA MAFANIKIO ANAYOPANDA DIAMOND HUWA NAKUMBUKA KITU KIMOJA, KWAMBA KUTOKA TANDALE MPAKA HAPO ALIPO? NIKISHAKUMBUKA HIVYO NAPATA MOYO SANA KWAMBA NA MIMI NINAWEZA, NA PIA NAPATA IMANI KWAMBA MUNGU HASHINDWI, DIAMOND WEWE NI MFANO WA KUIGWA SANA, WEWE UMETOA KILE KISINGIZIO KWAMBA WANAOFANIKIWA NI WATOTO WA WAKUBWA TU NA WALIOKULIA UZUNGUNI, WEWE UNAONYESHA KWAMBA POPOTE PALE ULIPOKULIA NA KWA MZAZI YEYOTE YULE MAFANIKIO YAPO NI KUJITUMA TU.    





KUBWA KULIKO WEEK END HII....................NI KUACHANA KWA MTANGAZAJI DIDA NA MUMEWE EZDEN.








Habari ya mjini hivi sasa ni kuhusu kuachana kwa Dida na mumewe Ezden, habari nyingi zimetapakaa lakini habari za kweli wapenzi ni zile zitakazotoka kinywani mwa wahusika, nafanya jitahada za kupata habari zenye ukweli kamili, habari itakayo kua haina chumvi.

OUR WEEK END DIVA.................LULU MICHAEL













Huyo ndo Diva wetu wa week, anaitwa LULU MICHAEL ni kaigizaji kadogo lakini kanakojua kujipigilia kakapendeza, 


Saturday, June 28, 2014

JACKLINE WOLPER MJAMZITO..........................






Nadanganya,,,,,,,,,, hiyo picha ni ya movie ya TOM BOY hapo alikua kapewa mimba na Mtunis, kwenye hii movie Jackie kaigiza vizuri sana,

Friday, June 27, 2014

WEMA KUTOKUWEPO KWENYE TATU BORA TUZO ZA WATU INAMAANA HAPENDWI NA MASHABIKI?




MUIGIZAJI WA KIKE KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
1.LULU MICHAEL
2.JACKLINE WOLPER
3WASTARA JUMA

Hao waigizaji walifika tatu bora kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za watu wote wanafanya vizuri sana tu kwenye filamu na wanamashabiki wengi, lakini hebu tuweni wa kweli kwa hili, kuna muigizaji yeyote Tanzania anayeongoza kwa kupendwa na watu kama Wema? ukiangalia hata watu wanaomfollow kwenye mitandao ya kijamii ni wengi kuliko wasanii wengine, kutoka Wema anafwatia Lulu Michael, hata kwenye uuzaji wa habari Wema anauza kupita kiasi then LULU anafwatia, hata kwenye blogs habari ya Wema siku zote ndo yenye viewers wengi ilifuatiwa na habari ya Lulu Michael nae huwa anapendwa sana na wasomaji, NILITAMANI KWENYE HIZI TUZO NIONE JINA LA WEMA SEPETU HASA IKIZINGATIWA YEYE NDO ANAYEPENDWA SANA NA WATU NA PIA KIPENGELE KINASEMA MSANII AANAYEPENDWA, KINGINE MSANII WA KIKE ANAYEIGIZA VIZURI HAPO NISINGELALAMIKA NAJUA WAPO WAKINA RIYAMA WALE NI HATARI, LAKINI KIPENGELE KINASEMA MSANII ANAYEPENDWA NA WEMA NDO MSANII WA KIKE ANAYEPENDWA PITA PAGE YAKE YA INSTAGRAM CHEKI FOLLOWERS WAKE JIBU UTALIPATA, MUWEKE KWENYE BLOG UONE VIEWERS WATAKAVYOMIMINIKA KWENYE HABARI YAKE JIBU UTALIPATA, SIJAJUA WAMECHAGUA KIGEZO GANI LAKINI NILITAMANI SANA KWENYE HILI APEWE HAKI YAKE, Lulu amestahili kabisa na yeye kuwepo kwasababu sio kwamba nampenda hapana ila najua anavyouza na hata ukiangalia followers wake ni wengi,

WAKATI DIAMOND MCHUMBA WA WEMA ANAELEKEA B.E.T AWARDS, HILI JAMBO ANATAKIWA ALIREKEBISHE.

Bwana Chibu mdogo wangu wewe ni mkaree halina ubishi, unapendeza na kila aina ya nguo haina ubishi, mpaka ukivaa vile visketi vinakutoa pia hakuna ubishi, kwenye ma red carpet unanoga hakuna ubishi, UBISHI unakuja kwenye hili pozi la KUINAMA, Chibu kwenye red carpet ya mtv kila picha umeinama kidogo, yani mpaka ukajisahau kabisa kwamba unatakiwa unyooke, haya tushuke chini tumuone Chibu wetu
             Chibu na Wema , hapo kama kawa Chibu kapiga pozi la kuinama



 CHIBU WAKIWA NA BABUTALE, KANYUTI TENA MPAKA AMETAKA KUMFIKIA BABUTALE



TENA CHIBU KAINAMA, WAKO SAWA UREFU NA MISS TANZANIA LAKINI HAPA CHIBU MPAKA KAONEKANA MFUPI

                            TENA

WAMEKAA LAKINI KAMA  CHIBU KAINAMA
Chibu BET hakuna kuinama Joan River povu la mdomo litamtoka balaa, na Wema ukienda hakuna kuvaa nguo nyeusi,


NAKUTAKIA SAFARI NJEMA MDOGO WANGU, MUNGU AKUINUE, KAMA LUPITA NYONG'O KAWEZA KUSIKIKA NA KATOKA EAST AFRICA HATA WEWE UNAWEZA PIA, TUNAKUOMBEA SANA SANA, MPKA HAPO ULIPOFIKA UKO JUU TAYARI, KUMBUKA HATA PSQUARE HAWAJAPATA HIYO NAFASI WALA DBANJ HAJAPATA, HONGERA SANA NA TUKO NYUMA YAKO DIAMOND WETU NA TUNAANGALIA TUZO KWA SABABU YAKO TU. ni hayo tu wapenzi

Thursday, June 26, 2014

WANASEMAGA KIZURI KULA NA NA WENZAKO, INGIA UPATE UHONDO



Photo: Elf 40 bei inapungua. Kwa jumla bei itakua nzuri zaidi


Photo: Kwa wale wanaojipenda Pochi hizo elf 40 tu. Pia tunauza kwa jumla bei zetu ni nzuri sana


Photo: Two in one. Elf 40 piga 0713608525 na 0715 686705


Photo: Pendeza kwa elf 40 tu. Unataka za jumla? Piga  0715 686705 na 0713-608524


Photo: Elf 40


Photo: Elf 40


Photo: Elf 40


Photo: Elf 40


Photo: Elf 40


Photo: Elf 40


Photo: Elf 40


Wapenzi pochi zetu hizo ni sh elf 40 tu, pia kwa wale wanaohitaji mzigo kwa jumla tunawakaribisha sana, bei zetu ni nzuri sana, tupigie 0713-608524 na 0715-686705. KARIBUNI SANA SANA. (nisameheni picha hazina quality nzuri)

Wednesday, June 25, 2014

MCHEKI RAYUU MWIGIZAJI CHIPUKIZI.


                                                RAYUU
Muigizaji chipukizi huyo anaitwa Rayuu, hivi Lupita Nyong'o na yeye alianzaga hivi? tutafika kweli?