DUH NI B ALAAAAAAA,
Unaambiwa Diamond alizomewa Fiesta hadi ikabidi akatishe show ashuke stejini….
The only time hawakumzomea ni alivyokuwa anaimba na Davido nahisi walimwonea aibu Davido..hahaha…
Eti wanamzoea huku wanaimba KIBA,KIBA KIBA….
Ali Kiba alivyopanda kwa steji wakamshangiliajeeeeeeeee
Duh wabongo noma aiseeee……Jamani huyu kijana amestruggle sana mpaka amefika hapa kwanini mnamuharibia career yake lakini? sio fair kabisa yani.
Kiba aliamua mwenywe kupumzika mziki, sasa karudi. Sio haki kwamba kurudi kwake ni atumie kumrudisha Diamond nyuma. Mie naona kama Kiba apewe support na Diamond apewe support ila sio haki kabisa kumwaribia Diamond. Kwani kamkosea nini Kiba lakini? Beef la mwaka 47 nyie mnalikuza leo.
Kwani lazma kuwe na one bongo flava king only? kwani hawawezi kuwa wawili, au watatu au wanne? Wasapotini wote jamani.
Acheni hizo bwana sio poa kabisa
BASI MASHABIKI NAO HAWAKUA NYUMA WAKATOA MAONI YAO JUU YA SHEM DARLING WETU.
Anonymous
Leo Diamond kapamba hardnews zote mpaka nyingine ukurasa wa mbele, hakuna cha Siti wala Ali Kiba. Kisa hizo sare za jeshi. Akiadhibibwa akifanywaje lakini yeye leo ndio kachukua nafasi kubwa kwenye magazeti kushinda mtu yoyote ile. Hayo ya adhabu yatakuja baadae, lakini ndio keshatumia opportunity ivooo.
Halafu cha ajabu hizo sare za jeshi alivaa hata Ney wa Mitego lakini sijamuona kuandikwa.