Muigizaji expensive kutoka Nigeria GENEVIEVE NNAJI mezindua nguo zake ambazo anaziita ST.GENEVIEVE, muigizaji huyu ambaye kwa sasa analalamikiwa na mashabiki kwa kutokucheza movie kwa muda mrefu hivi sasa amejikita katika biashara zaidi kwani licha ya biashara hii ya nguo pia Genevieve ana magazine yake inayoitwa GENEVIEVE. muigizaji mwingine nchini humo anayefanya ujasiriamali ni INI EDO ambaye yeye anatengeza viatu vyenye jina lake na pia anatengeneza mikate yenye jina lake, BONGO MOVIES WAREMBO MPOO.
No comments:
Post a Comment