Monday, October 27, 2014

KAMA HUJAIONA HII MOVIE EMBU ITAFUTE...


The Best of Me poster.jpg
Hii movie ni nzuri mno inaitwa THE BEST OF ME, ndani ya movie amecheza JAMES MARSDEN na MICHELLE MONAGHAN, kwa kifupi story yake ni ya wapenzi walioanza mapenzi yao wakiwa high school baadae wakapotezana wakahama na mji kabisa, lakini miaka 21 ijayo wakaja kukutana na kuanzisha tena uhusiano wao lakini huyo mwanamke tayari ameshaolewa.

KAMA UNAPENDA LOVE STORIES EMBU FANYA KUITAFUTA HII MOVIE

No comments: