Friday, October 17, 2014

MOVIE YA CHAUSIKU NDO HABARI YA MUJINI KWA HIVI SASA BONGO HONGERA SHAMSA FORD





 
Hii ni movie ambayo ipo chini ya JERUSALEM company inayoitwa CHAUSIKU, yani hii movie ndo imezima kelele zote za movie ya KIGODORO, yani sasa hivi hii ndo habare ya mujini kila unakopita ni CHAUSIKU CHAUSIKU, muigizaji kinara ni SHAMSA FORD, kusema ukweli bi dada kaipatia sana nafasi yake yani kavaa uhusika ile haswa maana tumezoea kuona movie nyingi wahusika hasa wanawake wanaringaringa tu kwenye movie lakini kwa Shamsa hapa ilikua ni kazi kwa kwenda mbele hongera sana Shamsa na JB pia hongera kwa kutuletea hili bonge la movie , napenda sana movie zinazoonyesha uhalisia wa maisha yetu ya bongo, hii inafanya na sisi movie zetu ziwe na utambulisho wake kama wanaigeria zamani tulivyokuwaga tunaangalia maisha yao halisi ya uchawi uchawi,

No comments: