Monday, October 27, 2014

MSANII HUYU WA NIGERIA SIJUI ALIPOTELEA WAPI....

oge2


Huyu mrembo ni msanii wa Nigeria anaitwa OGE OKOYE, hajaonekana kwenye movies kwa muda mrefu na pia hata kwenye mitandao hajatupia picha muda mrefu, lakini inasemekana kwamba ameamua kujikita zaidi kwenye biashara yake mpya ya vipodozi,

No comments: