tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Sunday, October 12, 2014
JESTINA GEORGE APIGWA NA TEAM KAJALA.............
Leo asubuhi habari zimesambaa kwamba mwanadada JESTINA GEORGE ambaye ni blogger mzuri sana amepigwa na team ya mwigizaji Kajala, kisa kikiwa ni kurecordiwa kwa clip iliyosikika ikimsema wema, yani inasemekana Kajala na wenzake walikua wamekaa wanamteta Wema na Jestina alikua karibu hivyo akaamua kurecord alichokisikia na kukirusha mitandaoni, hapo ndipo hasira ikawapanda team Kajala na kuamua kutembeza kipigo.
JAMANI TUNAKWENDA WAPI WAPENZI, KWANINI TUNATAKA KUA KAMA BOKO HARAM, YANI KWELI TUNAPOELEKEA ITAFIKIA HATUA YA KILA MTU KUTEMBEA NA BOARDGUARD , SASA JESTINA YEYE NI MWANAHABARI, HII NI KAZI YAKE, TENA INAPOTOKEA AKAPATA HABARI YENYE USHAHIDI WA SAUTI KWAKE YEYE NDIO VIZURI ZAIDI, SHE WAS JUST DOIN HER JOB JAMANI KWANINI MUMSHUSHIE KIPIGO? JESTINA ASINGEKUA NA BLOG NINGESEMA KAFANYA UMBEA LAKINI YEYE KAZI YAKE NI BLOGGING SIKUONA UBAYA WA YEYE KUCHUKUA HABARI NA KUIWEKA ONLINE, ila tu pia nahisi kutokana na Jestina kuwa karibu mno na team Wema hii inapelekea team Kajala kumuona Jestina kama team Wema, kwa hyo kwa hapo dada yangu Jestina unatakiwa usiwe upande wowote maana sisi wanahabari kazi yetu ni kuhabarisha tu hatutakiwi kuwa kwenye upande wowote, ni hayo tu wapenzi.................
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Pole sana dada jestina,Jamani tuna enda wapi nahizi chuki zisizo kuwa na mwisho?kweli kama Tanzania ni inchi ya haki wale watu waliyo mupiga jestina wakamatwe nakufungwa.alafu muna tusumbuwa fichwa eti musani ni kiyo cha jamihi iyo yakutuma watu wapige wa blogger,ukweli usemwa acheni unafki .badirikeni wasani nachuki zisizokuwa na kichwa wala miguu
Post a Comment